Habari za wiki

IOM na washirika wazuru Sudan,wabaini hali tete za afya kwa maelfu ya raia.

Theluthi mbili ya wanaokabiliwa na hatari ya mabomu ya ardhini nchini Mali ni watoto.: UNICEF

Shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF limetahadharisha kuhusu hatari inayozikumba jamii kati na kaskazini mwa Mali,  hatari inayo

Sauti -

Theluthi mbili ya wanaokabiliwa na hatari ya mabomu ya ardhini nchini Mali ni watoto.: UNICEF

UNRWA yafutilia mbali awamu ya tatu ya mbio za Marathon ukanda wa Gaza

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa kipalestina UNRWA limefutilia mbali awamu ya tatu ya mbio za masafa marefu ambazo zingeandaliwa tarehe kumi mwezi Aprili mwaka huu.

Sauti -

UNRWA yafutilia mbali awamu ya tatu ya mbio za Marathon ukanda wa Gaza

UNHCR yatoa ombi la dola miloni 70 zaidi kwa oparesheni zake eneo la maziwa makuu

Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR linatoa ombi la dola milioni 70 zaidi kwa oparesheni zake mwaka 2013 kuwasaidi

Sauti -

UNHCR yatoa ombi la dola miloni 70 zaidi kwa oparesheni zake eneo la maziwa makuu

Mamilioni wakabikliwa na tishio la njaa Kusini mwa Afrika

Zaidi ya watu Milioni sita Kusini mwa Bara la Afrika wanakabiliwa na njaa kali kutokana na upungufu wa chakula huku wengine wakikabiliwa na magonjwa mbalimbali ikiwemo utapiamlo.

Sauti -

Mamilioni wakabikliwa na tishio la njaa Kusini mwa Afrika

Biashara haramu yaipora Afrika nyani 3000 kila mwaka: UNEP

Biashara haramu ya nyani inaipokonya misitu ya bara la Afrika na Asia Kusini takriban nyani 3000 kila mwaka na inatajwa kuongezeka na kuwa kitisho kwa idadi ya nyani maeneo hayo, kwa mujibu wa ripoti mpya ya Shirika la mazingira la Umoja wa Mataifa

Sauti -