Habari za wiki

Wataka kupitishwa mkataba wa udhibiti wa silaha

Makundi ya wabunge duniani kote wametoa mwito kufikiwa makubaliano juu ya mkataba wa udhibiti wa biashara ya silaha, katika wakati ambapo viongozi kutoka pande mbalimbali wakitarajia kuanza kukutana hapo alhamisi kwa ajili ya kujadilia kama kuwepo makubaliano ya pamoja juu ya kufikiwa kwa mkataba

Sauti -

Wataka kupitishwa mkataba wa udhibiti wa silaha

Vijana wanaweza kusaidia kukabiliana na changamoto za sasa duniani,Ban

Katibu Mkuu wa Umoja wa Matifa Ban Ki- moon amezungumza katika kongamano la vijana kuhusu ushauri wa kiuchumi na kijamii na kusema licha ya changamoto wanazokabiliana nazo vijana wana fursa ya kuleta mabadiliko duniani.

Sauti -

Vijana wanaweza kusaidia kukabiliana na changamoto za sasa duniani,Ban

Wawakilishi wa wakimbizi waliotekwa nyara waachiliwe:Al-Za’tari

Mwakilishi Mkaazi wa Umoja wa Mataifa ambaye pia ni mratibu wa misaada ya kibinadamu nchini Sudan Ali Al-Za’tari, ameelezea wasiwasi wake kuhusu taarifa za kutekwa nyara kwa wawakilishi wa wakimbizi wa ndani waliokuwa safarini kutoka Zalingei, Darfur Kati kwenda Nyala, Darfur Kusini kuhu

Sauti -

Wawakilishi wa wakimbizi waliotekwa nyara waachiliwe:Al-Za’tari

Vyandarua vyenye viuatilifu vyachochea uzalishaji wa maziwa: FAO

Njia rahisi na ya ubunifu ya kutumia madawa kwenye vyandarua kulinda mifugo kumeongeza mara mbili au mara tatu katika baadhi ya sehemu uzalishaji wa maziwa kwa wafugaji wadogowadogo, huku kukisaidia pia kupunguza maradhi yatokanayo na mbu kwa binadamu kwenye maeneo ya Kisii nchini Kenya limesema

Sauti -

Vyandarua vyenye viuatilifu vyachochea uzalishaji wa maziwa: FAO

Ban akutana na waziri wa Mambo ya Nje wa DRC

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa mambo ya nje wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, DRC, Raymond Tshibanda N'Tungamulongo ambapo viongozi hao wamezungumzia hali tete ya usalama nchini humo na utekelezaji wa mkataba wa amani na ushirikaino kwa

Sauti -

Ban akutana na waziri wa Mambo ya Nje wa DRC