Habari za wiki

Mkataba wa kudhibiti biashara ya silaha wakwama, Ban asikitishwa

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ameeleza kusikitishwa kwake na kitendo cha wajumbe mkutano wa mwisho wa mkataba wa kimataifa wa biashara ya silaha duniani kushindwa kuafikiana juu ya rasimu ya mkataba huo.

Sauti -

Mkataba wa kudhibiti biashara ya silaha wakwama, Ban asikitishwa

Ban asifu MONUSCO kupatiwa mamlaka mpya

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ameunga mkono hatua aliyoitaja kuwa ni muhimu ya Baraza la Usalama kupitisha azimio juu ya Jamhuri ya Demokrasi ya Kongo, DRC ambalo linaipatia ujumbe wa Umoja huo nchini humo

Sauti -

Ban asifu MONUSCO kupatiwa mamlaka mpya

MONUSCO yapatiwa mamlaka mpya ili kuimarisha amani DRC

Hatimaye Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio namba 2098 ambalo pamoja na mambo mengine linapatia ujumbe wake nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ay Kongo, DRC,

Sauti -

MONUSCO yapatiwa mamlaka mpya ili kuimarisha amani DRC

Serikali ya Indonesia yatakiwa kusitisha hukumu ya kifo

Mwakilishi maalumu wa Umoja wa mataifa kuhusu hukumu ya kifo Christof Heyns Alhamisi ameitaka serikali yaIndonesia kudhibiti utekelezaji wa hukumu ya kifo katika kutekeleza wajibu wake wa kimataifa.

Sauti -

Serikali ya Indonesia yatakiwa kusitisha hukumu ya kifo

Mgogoro wa kibinadamu waongezeka CAR: OCHA

Shirika la Umoja wa mataifa la kuratibu masuala ya kibinadamu OCHA limesema mgogoro nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati ikiwemo kutwaliwa madaraka kwa nguvu kulikofanywa na kundi la Seleka Machi 24 kumechangia hali ya kibainadamu ambayo tayari ni mbaya kuwa mbaya zaidi.

Sauti -

Mgogoro wa kibinadamu waongezeka CAR: OCHA