Habari za wiki

Hali ya usalama CAR yaendelea kuwa tete, maelfu waendelea kukosa makazi

Hali ya usalama CAR yaendelea kuwa tete, maelfu waendelea kukosa makazi

Hali ya usalama katika Jamhuri ya Afrika ya Kati imeendelea kuwa tete hali ambayo imesababisha kuzuka kwa wimbi kubwa la raia wanaopoteza makazi  katika mji mkuuBangui. Hiyo ni kwa mujibu wa shirika ka Umoja wa Mataifa linalohusika na misaada ya kiutu OCHA. George Njogopa na taarifa zaidi.

Sauti -

Hali Sudan Kusini bado mbaya, mapigano yanaendelea

Hali Sudan Kusini bado mbaya, mapigano yanaendelea

Hali ya usalama nchini Sudan Kusini bado ni mbaya kwani mapigano bado yanaendelea na idadi ya wanaosaka hifadhi kwenye ofisi za ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo,

Sauti -