habari za UN

CAR hali bado ni tete kwa wanaohitaji msaada haraka:OCHA

CAR hali bado ni tete kwa wanaohitaji msaada haraka:OCHA

Hali ya takribani watu 100,000, wakiwemo wakimbizi wa ndani na jamii zinayowahifadhi mjini Paoua nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR bado ni tete.

Sauti -

Alihesabiwa siku za kuishi lakini akaishi zaidi

Umoja wa Mataifa unaendelea kupigia chepuo usambazaji wa huduma za kujikinga na virusi vya ukimwi, VVU ikiwa ni moja ya utekelezaji wa lengo namba 3 la malengo ya maendeleo endelevu, SDGs.

Japo ugumu wa maisha binti lazima aende shule : Samira

Lengo namba 4 la ajenda ya maendeleo andelevu ya Umoja wa Mataifa, linaangazia elimu bora kwa wote.

Sauti -

Mwaka 2018 waanza na zahma kwa watoto Syria : UNICEF

Mwaka 2018 waanza na zahma kwa watoto Syria : UNICEF

Kwa mujibu wa bwana Fran Equiza, msemaji wa UNICEF Syria, ni masikitiko makubwa kwa wazazi kupoteza watoto mwanzoni mwa mwaka katika miji hii ya m

Sauti -