habari za UN

Taka za kielektroniki zasalia kwenye makabati majumbani- Ripoti

Taka za kielektroniki zasalia kwenye makabati majumbani- Ripoti

Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imebaini ongezeko kubwa la taka za kielektroniki ulimwenguni.

Taka hizo ni pamoja na betri chakavu, plagi za umeme, majokofu, simu za kiganjani na kompyuta ambazo kiwango chake mwaka 2016 kilifikia tani za ujazo milioni 44.7.

Sauti -

Lacroix awajulia hali majeruhi wa Tanzania waliolazwa Uganda

Mkuu wa operesheni za ulinzi za Umoja wa Mataifa Jean-Pierre Lacroix amewajulia hali walinda amani wawili wa Tanzania waliolazwa katika hospital ya Mulago mjini Kampala nchini Uganda.

Kuwekeza kwenye Malaria ni hatua chanya- Dkt. Winnie

Kuwekeza kwenye Malaria ni hatua chanya- Dkt. Winnie

Uwekezaji katika kukabiliana na Malaria, ni uwekezaji ambao utasaidia siyo tu kutokomeza umaskini bali pia kuchochea maendeleo kwa ngazi ya jamii na taifa kwa ujumla.

Sauti -

Watu wa milimani kusaidiwa kukabili njaa, mabadiliko ya tabia nchi na uhamiaji

Watu wa milimani kusaidiwa kukabili njaa, mabadiliko ya tabia nchi na uhamiaji

Serikali na asasi za kiraia zimeamua kushika usukani katika kuwasidia watu waishio milimani kukabiliana vyema na mabadiliko ya tabia nchi, njaa na uhamiaji  kwa mujibu wa ripoti ya shirika la chakula na kilimo

Sauti -

Mauaji ya kimbari asilani yasiwe na nafasi sasa hata milele:UN

Katika kuwaenzi wahanga wa mauaji ya kimbari, ofisi ya Umoja wa mataifa inayoratibu juhudi za kuzuia mauaji hayo imezindua ombi kwa nchi wanachama la kuridhia mkataba wa 1948 wa kuzuia mauaji ya kimbari ifikapo mwisho wa mwaka 2018 kama bado hawajafanya hivyo.

Sauti -