Gilbert Houngbo

UNDP/PraiseNutakor

Tuzingatie mahitaji ya wakulima masikini :IFAD

Mkutano wa utangulizi kuhusu mifumo ya chakula ukiendelea mjini Roma, Italia, Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa maendeleo ya Kilimo , IFAD limetoa wito wa mabadiliko kadhaa muhimu katika mifumo ya chakula, ikiwemo kujitolea kufadhili na pia dhamira ya kisiasa kuhakikisha watu wa vijijini wanawezeshwa kwa namna mbalimbali vinginevyo lengo la kuwa mifumo endelevu ya chakula duniani litashindwa. 
(Taarifa ya Anold Kayanda) 

Sauti
2'47"
Wakulima katika jimbo la Andhra Pradesh nchini India wanakumbatia mifumo mipya ya kilimo.
Umoja wa Mataifa

Ikiwa tutapuuza changamoto na mahitaji ya watu wa vijijini katika nchi maskini tutashindwa - IFAD 

Mkutano wa utangulizi kuhusu mifumo ya chakula ukiendelea mjini Roma, Italia, Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa maendeleo ya Kilimo, IFAD limetoa wito wa mabadiliko kadhaa muhimu katika mifumo ya chakula, ikiwemo kujitolea kufadhili na pia dhamira ya kisiasa kuhakikisha watu wa vijijini wanawezeshwa kwa namna mbalimbali vinginevyo lengo la kuwa mifumo endelevu ya chakula duniani litashindwa.

Sauti
2'47"