General Assembly

UNFPA yatoa mafunzo kuhusu ukatili wa kijinsia kwa wathirika wa vimbunga

Mjumbe maluum wa maswala ya ukatili wa kijinsia (GBV) wa  shirika la Umoja wa Mataifa la idadi wa watu ulimwenguni UNFPA, yupo ziarani katika visiwa vya

Sauti -

Warundi mliokimbilia nje karibuni mrejee nyumbani:Nyamitwe:

Warundi mliokimbilia nje karibuni mrejee nyumbani:Nyamitwe:

Hali ya Burundi imetengamaa na ni wakati muafaka kwa raia waliokimbilia nchi jirani na nchi za nje kurejea nyumbani. Wito huo umetolewa leo na waziri wa mambo ya nje wa Burundi Alain Aimé Nyamitwe akihutubia mjadala wa wazi wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa New York Marekani.

Sauti -

Tusaidiane kudhibiti utoroshaji wa fedha kutoka nchi maskini- Guterres

Tusaidiane kudhibiti utoroshaji wa fedha kutoka nchi maskini- Guterres

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema uwezo wa nchi kujipatia mapato yake yenyewe ni moja ya mambo ya msingi katika kufanikisha ajenda ya maendeleo endelevu.

Sauti -