General Assembly

Matukio ya mwaka 2017

Azimio dhidi ya Marekani lapita, yenyewe yasema halina maana

Azimio dhidi ya Marekani lapita, yenyewe yasema halina maana

Ukumbi wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa leo Alhamisi uligubikwa na maneno ya vijembe wakati wawakilishi wa nchi 193 wanachama wa Umoja huo walipokuwa wanatoa maoni yao kabla ya kupiga kura ya kutaka Marekani ibadili uamuzi wake wa kutambua Yerusalem kama mji mkuu wa Israel.

Sauti -

Kenya na Burundi miongoni mwa nchi 37 zinazohitaji msaada wa chakula- FAO

Kenya na Burundi miongoni mwa nchi 37 zinazohitaji msaada wa chakula- FAO

Mavuno mengi ya nafaka ulimwenguni bado hayajaweza kusaidia kuondokana na ukosefu wa chakula katika nchi 37 duniani, 29 kati ya hizo zikiwepo barani Afrika.

Sauti -

Mapigano yasitishwa mji mkuu Sana’a na sasa yahamia viungani

Mapigano yasitishwa mji mkuu Sana’a na sasa yahamia viungani

Nchini Yemen baada ya mfululizo wa mashambulizi ya anga na ardhini kuanzia mwishoni mwa wiki kwenye mji mkuu Sana’a, hatimaye hii leo mashambulizi yamekoma na hivyo wananchi kuweza kuibuka kutoka kwenye makazi yao ili kupata huduma.

Sauti -