GAZA

Ukatili unaendelea kuathiri watoto Palestina na Israeli-UNICEF

Katika kipindi cha siku chache zilizopita watoto kutoka Palestina na Israeli  wameendelea kukabiliwa na  madhila na hata ukatili kufuatia ongezeko la machafuko na tunatoa wito kusitishwa kwa mapigano haraka limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF.

WHO yatoa msaada ya dawa na vifaa vya dharura Gaza

Shirika la Afya Duniani (WHO) hii leo limetoa msaada wa dawa na vifaa muhimu kwa badhi ya vituo vya huduma ya dharurua Gaza ili kukabiliana mahitaji ya kiafya katika ukanda wa Gaza .

Rasilimali za Palestina hazipaswi kuchukuliwa wala kuharibiwa na Israel:Lynk

Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu katika eneo linalokaliwa la Palestina Michael Lynk amesema rasilimali za Wapalestina hazipaswi kuchukuliwa wala kuharibiwa na Israel kwani huo ni ukiukwaji wa haki za binadamu.

Sauti -
1'46"

kupokonya raslimali za wapalestina, ni ukiukaji wa haki za binadamu-Mtaalamu wa UN

Mwakilishi maalumu wa Umoha wa Mataifa kuhusu haki za rasilimali  , Michael Lynk hii leo mjini Geneva Uswisi amesema upokonyaji wa raslimali za wapalestina unaofanywa na Israel katika eneo la Palestina linalokaliwa ni ukiukwaji wa moja kwa moja wa wajiu wa kisheria.

Mladenov alaani ukatili unaoelekezwa dhidi ya waandamanaji na vikosi vya Hamas Gaza

Mratibu maalum wa Umoja wa Mataifa kwenye mchakato wa amani huko Mashariki  ya Kati Nickolay Mladenov amelaani vikali kampeni ya kamatakamata na ukatili unaotumiwa na vikosi vya Hamas dhidi ya waandamanaji ikiwemo wanawake na waoto huko Ukanda wa Gaza katika kipindi cha siku tatu zilizopita.

Ripoti ya kilichojiri Gaza yaweka bayana kilichotokea

Tume huru ya Umoja wa Mataifa ya uchunguzi kuhusu maandamano kwenye eneo linalokaliwa la Palestina leo imewasilisha ripoti yake kjwenye Baraza la haki za binadamu iliyobaini ukiukwaji mkubwa wa sheria na haki za binadamu kwenye ukanda wa Gaza. 

Sauti -
3'2"

Hakuna kinachohalalisha utumiaji wa risaasi za moto dhidi ya waandamanaji Gaza:UN

Tume huru ya Umoja wa Mataifa ya uchunguzi kuhusu maandamano kwenye eneo linalokaliwa la Palestina leo imewasilisha ripoti yake kjwenye Baraza la haki za binadamu iliyobaini ukiukwaji mkubwa wa sheria na haki za binadamu kwenye ukanda wa Gaza. 

Lilikuwa suala la kifo na maisha. Kwa nini walikuwa wananinyima kibali cha kutibiwa?

Baada ya kugundulika kuwa wanaugua saratani, wagonjwa kwenye eneo la Palestina la Gaza linalokaliwa na Israeli, hulazimika kusubiri kwa miezi kadhaa  kabla ya kupata matibabu. 

Tumesalia bila chochote isipokuwa ndoto zetu:Wakimbizi wa Palestina

Maelfu ya wakimbizi wa Kipalestina wanaoshi Ukanda wa Gaza wanasema hawana chochote, hata matumaini yameanza kupotea sipokuwa ndoto zao. Hii ni kutokana na madhila na machafuko ya miaka nenda rudi katika eneo hilo linalokaliwa na Israel.

Sauti -
3'6"

Tumesalia bila chochote isipokuwa ndoto zetu:Wakimbizi wa Palestina

Maelfu ya wakimbizi wa Kipalestina wanaoshi Ukanda wa Gaza wanasema hawana chochote, hata matumaini yameanza kupotea sipokuwa ndoto zao. Hii ni kutokana na madhila na machafuko ya miaka nenda rudi katika eneo hilo linalokaliwa na Israel. Wengi wanaishi wanaishi makambini ikiwemo kambi ya Al-Shati