Palestina yakabidhiwa uenyekiti wa kundi la G77 na China.
Leo katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York Marekani, Palestina imekabidhiwa uenyekiti wa kundi la nchi 77 yaani G-77 na China.
Leo katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York Marekani, Palestina imekabidhiwa uenyekiti wa kundi la nchi 77 yaani G-77 na China.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres leo amekuwa na mazungumzo na Rais wa Palestina Mahmoud Abbas kabla kufanyika kwa mkutano wa kundi la nchi 77, G-77 na China hapo kesho ambapo Palestina inachukua uenyekiti wa kundi hilo.