FUWAVITA

Tenda wema nenda zako, msichana Aneth ambaye kitendo chake kimeendelea kuwasaidia wanafunzi viziwi, Chuo Kikuu cha Dare es Salaam

Katika mahojiano kati ya Ahimidiwe Olotu wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa na Aneth Gerana Isaya, msichana kiziwi ambaye ushauri wake alioutoa alipojiunga katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, umeendelea kuwasaidia viziwi wote wanaojiunga kwa masomo katika Chuo hicho kikongwev cha elimu ya

Sauti -
6'51"

FUWAVITA, daraja kwa wanawake wenye ulemavu kupata stadi nchini Tanzania

Nchini Tanzania, taasisi ya FUWAVITA yaani Furaha ya Wanawake Viziwi Tanzania imekuwa ikiwawezesha wanawake wenye ulemavu nchini humo hususani wanawake viziwi kupata stadi za uongozi na ujasiriamali.

Sauti -
2'

Ninaushukuru Umoja wa Mataifa kuhakikisha hakuna anayeachwa nyuma-Aneth Gerana Isaya 

Nchini Tanzania, taasisi ya FUWAVITA yaani Furaha ya Wanawake Viziwi Tanzania imekuwa ikiwawezesha wanawake wenye ulemavu nchini humo hususani wanawake viziwi kupata stadi za uongozi na ujasiriamali. Ahimidiwe Olotu wa Kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa amemhoji mwanzilishi wa taasisi hiyo, Aneth Gerana Isaya kupitia mkalimani wa lugha ya ishara Bwana Billbosco Muna.