Ikiwa na lebo ya pilipili ya Penja hutoacha kununua- FAO
Utafiti mpya wa Umoja wa Mataifa na wadau wake umebaini kwa bidhaa yoyote ile inapobandikwa lebo inayoonyesha eneo halisi ilikozalishwa, inakunwa na manufaa zaidi ya kiuchumi na kijamii kwa maeneo ya kijijini na pia huchagiza maendeleo endelevu.
Lebo ya eneo la kijiigrafia au GI hutaja eneo ilipozalishwa bidhaa mathalani pilipili ya bonde la Penja nchini Cameroon ambayo tayari imejipatia umaarufu, na huelezea ubora na ladha kulingana na eneo hilo na hata utamaduni wa eneo hilo.