Filippo Grandi

Saidieni Uganda ili iweze kuhudumia vyema wakimbizi- Grandi

Kamishina mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR Filippo Grandi akiwa ziarani nchini Uganda amesema taifa hil

Sauti -
2'33"

Uganda inahitaji kupigwa jeki iweze kuendelea kukirimu wakimbizi:Grandi

Kamishina mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR Filippo Grandi akiwa ziarani nchini Uganda amesema taifa hilo linastahili na linahitaji kupigwa jeki ili liweze kumudu changamoto za wakimbizi linaowahifadhi na kuendelea kukirimu wengine.