Filippo Grandi

09 Februari 2021

Jaridani hii leo Jumanne Februari 09 2021, Flora Nducha anaanzia Msumbiji kumulika msaada wa Umoja wa Mataifa kwa manusura wa kimbunga Eloise, wamejengewa makazi ya muda na huduma za kujisafi na maji safi.

Sauti -
13'29"

Kamishna Mkuu wa UNHCR aisihi jumuiya ya kimataifa kuiunga mkono Colombia kuwasaidia wavenezuela

Kamishna Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, Filippo Grandi akiwa ziarani Colombia amesema ukarimu wa Colombia katika kukaribisha wakimbizi wa Venezuela haupaswi kuchukuliwa kwa urahisi na akaomba msaada wa kimataifa kuunga mkono juhudi za nchi hiyo ambazo zinaendelea kulinda watu waliokimbia makazi yao licha ya changamoto za janga la COVID-19. 

Napenda somo la kemia, nataka kuwa daktari- Mwanafunzi Mkimbizi Sudan Kusini

amishna Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, Filippo Grandi akiwa ziarani barani Afrika, ametembelea wanaf

Sauti -
1'50"