FAO yazindua mwongozo wa kupambana na viwavi jeshi Afrika
Leo shirika la chakula na kilimo FAO limezundua mwongozo wa kina wa kudhibiti wadudu hatari kwa mahidi, viwavi jeshi katika barani Afrika.