Falé

Muziki wa kufokafoka waelezea madhila ya kuvuka jangwa

Muziki wa kisasa ni nyenzo muhimu ya kufikisha ujumbe wa hatari na madhila ya uhamiaji kwa vijana wa Agfrika ya Magharibi.  Siraj Kalyango na taarifa kamili

(TAARIFA YA SIRAJ KALYANGO)

Sauti -
1'33"

Muziki kufikisha ujumbe wa madhila ya uhamiaji kwa vijana:IOM

Vijana sasa wameamua kutumia muziki wa kufokafoka au rap ili kuelezea madhila ya kuvuka jangwa la Sahara na kwenda kusaka maisha bora barani Ulaya.