Europe

Ban aaga akisema atasalia mtoto wa Umoja wa Mataifa

Nats..

Hivyo ndivyo ilivyokuwa majira ya saa sita mchana siku ya Ijumaa kwa saa za New York, Marekani ambapo Katibu Mkuu wa nane wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon aliaga rasmi wafanyakazi wa umoja huo baada ya kuhudumu kwa miaka 10.

Sauti -

Ban aaga akisema atasalia mtoto wa Umoja wa Mataifa

Matukio muhimu ya mwaka 2016

Jarida letu la leo linaangazia matukio muhimu yaliyojiri kwa mwaka huu wa 2016 huku pia tukipata fursa ya kuangazia matumaini katika mwaka mpya wa 2017.  Katika kuangazia matukio mablimbali ya mwaka 2016.

Sauti -

Matukio muhimu ya mwaka 2016

Twaweza kutokomeza magonjwa ya kuambukiza: WHO

Shirika la afya ulimwenguni WHO limesema magonjwa ya kuambukiza kama vile homa kali ya Ebola yanaweza kuepukika ikiwa hatua muhimu ikiwamo ushirikiano wa wada

Sauti -

Twaweza kutokomeza magonjwa ya kuambukiza: WHO

Matukio ya mwaka 2016

Chuki dhidi ya wageni ikomeshwe: Eliasson

Viongozi kote duniani wametakiwa kuacha hima kuwagawanya watu katika umimi na usisi, amesema Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Jan Eliasson anayemaliza muda wake wa uongozi mwishoni mwa mwaka huu.

Sauti -

Chuki dhidi ya wageni ikomeshwe: Eliasson

Poland mwenyeji wa mkutano wa utalii endelevu: UNTWO

Sambamba na maadhimisho ya mwaka wa utalii endelevu kwa maendeleo yanayotarajiwa  kuadhimishwa mwaka 2017, mkutano wa tatu kuhusu maadili na utamaduni utafanyika nchini Poland mnamo april 27 hadi 28 mwakani.

Sauti -