Kufuatia vimbunga vilivyoishambulia Marekani wakati wa Krismasi, kunyesha kwa barafu Mexico na mafuriko Amerika ya Kusini na Uingereza, Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kupunguza madhara ya majanga, Margareta Wahlström, ametoa wito kwa serikali zichukuwe hatua za tahadhari ili kupunguza hasar