Europe

Ulimwengu ulitikiswa na kifo cha Madiba

Kubwa zaidi lililotikisa ulimwengu ni kifo cha Madiba! Taifa lake, dunia nzima ilimlilia na katika ibada ya mazishi ilikuwa bayana.

 Wimbo (kwaya)

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon aliweka bayana kuwa dunia imegubikwa na majonzi lakini.

Sauti -

Ulimwengu ulitikiswa na kifo cha Madiba

Kikao cha 56 cha Mkataba kuhusu Haki za Watoto kufanyika Geneva Januari 13-31, 2014

Kikao cha sitini na tano cha Kamati ya Mkataba kuhusu Haki za Watoto kitafanyika kwenye ofisi za Umoja wa Mataifa mjini Geneva kuanzia tarehe 13 hadi tarehe 31 Januari hapo mwakani. Katika kikao hicho, ripoti za hali ya haki za watoto katika nchi mbali mbali wanachama zitatolewa.

Sauti -

Kikao cha 56 cha Mkataba kuhusu Haki za Watoto kufanyika Geneva Januari 13-31, 2014

Ban, Baraza la Usalama walaani shambulio la kigaidi nchini Urusi

Umoja wa Mataifa umelaani vikali shambulio la kigaidi huko Volgograd nchini Urusi ambalo limesababisha vifo vya watu 16 na wengine wengi kujeruhiwa.

Sauti -

Ban, Baraza la Usalama walaani shambulio la kigaidi nchini Urusi

Baraza la Usalama lapitisha azimio la kuongeza vikosi vya amani Sudan Kusini

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo limepitisha azimio la kuongeza vikosi vya walinda amani wa

Sauti -

Baraza la Usalama lapitisha azimio la kuongeza vikosi vya amani Sudan Kusini

Wataalamu waeleza kutoridhika na mbinu za uchunguzi dhidi ya watuhumiwa wa ugaidi

Wataalamu wawili huru wa masuala ya kibidamamu wa Umoja wa Mataifa hii leo wamekaribisha kuchapishwa kwa ripoti ambayo ni uchunguzi  unaohusu mateso na ukiukaji mwingine wa haki za binadamu uliofanywa na uingereza dhidi ya watu wanaozuiliwa nchi za ng’ambo kwa minajili ya vita dhidi ya ugaidi.

Sauti -

Wataalamu waeleza kutoridhika na mbinu za uchunguzi dhidi ya watuhumiwa wa ugaidi