Eritrea

Kundi la tatu la wakimbizi wanaoondolewa Libya lawasili Rwanda

Kundi la tatu la wakimbizi zaidi ya 100 wakiwemo watoto wachanga waliozaliwa kwenye vituo vya kushikilia wakimbizi na wahamiaji nchini Libya limewasili Rwanda kwa msaada wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi

Sauti -
1'48"

Kundi la tatu la wakimbizi wanaoondolewa Libya lawasili Rwanda:UNHCR

Kundi la tatu la wakimbizi zaidi ya 100 wakiwemo watoto wachanga waliozaliwa kwenye vituo vya kushikilia wakimbizi na wahamiaji nchini Libya limewasili Rwanda kwa msaada wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR.

Wadau wa UN wahaha kuona AfCFTA haisalii kwenye makaratasi

Mkutano wa 23 wa kamati ya watendaji wa serikali na wataalamu unaoangazia jinsi ya kusaka fursa mpya za ushirikiano wa kibiashara wa kikanda kwenye eneo la mashariki mwa Afrika ukiingia siku ya pili hii leo huko Asmara, Eritrea, kampuni  ya Trademark East Africa imezungumzia kile ambacho nchi za Afrika zinapaswa kuzingatia ili kunufaika na eneo la soko huru barani humo, AfCFTA.

Waziri mkuu wa Ethiopia aibuka kidedea tuzo ya Nobel 2019

Tuzo ya amani ya Nobel kwa mwaka 2019 ametuza Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed kwa juhudi zake za kuimarisha amani na ushirikiano wa kimataifa.

Sauti -
2'2"

Awamu ya pili ya wasaka hifadhi kutoka Libya yawasili Rwanda

Kundi la pili la wakimbizi 123 walioonekana kwa hatarini zaidi  nchini Libya limewasili nchini Rwanda usiku wa jana kwa njia ya ndege.

Waziri Mkuu wa Ethiopia ashinda tuzo ya amani ya Nobel, Guterres azungumza

Tuzo ya amani ya Nobel kwa mwaka 2019 ametuza Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed kwa juhudi zake za kuimarisha amani na ushirikiano wa kimataifa.

Wakimbizi wa Libya wawasili Rwanda; mmoja hajawahi toka kambini kwa zaidi ya miaka 4-UNHCR

Kundi la kwanza lenye wakimbizi 66 waliohamishwa kutoka Libya na limewasili nchini Rwanda usiku wa Alhamis ya Septemba 26, kwa ndege ya kukodi ya shirika la kuhudumia wakimbizi UNHCR, ameeleza hii leo mjini Geneva Uswisi, msemaji wa UNHCR, Babar Baloch

Sheria mpya Ethiopia kuwanufaisha wakimbizi

Ethiopia ni mwenyeji wa wakimbizi takribani laki tisa ambao wengi wao wanaishi katika kambi, na mara nyingi hawana haki ya kufanya kazi au kutembea kwa uhuru, lakini sasa mambo yanabadilika. Sheria mpya ya wakimbizi itawafanya wakimbizi wawe na fursa nyingi zaidi. 

Kuondolewa kwa vikwazo dhidi  ya Eritrea kutachagiza ujenzi wa amani- Guterres

Kufuatia hatua ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuondoa vikwazo dhidi ya Eritrea, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres, amesema anafuatia kwa karibu maendeleo ya sasa huko Pembe ya Afrika akisema ni matumaini yake kuwa kuondolewa kwa vikwazo hivyo kutachangia katika kusongesha juhudi za amani kwenye eneo hilo.

Vikwazo vya UN dhidi ya Eritrea sasa historia

Baraza la  Usalama la Umoja wa Mataifa leo limepitisha azimio la kuondoa vikwazo dhidi ya Eritrea ambavyo nchi hiyo ilikuwa imewekewa tangu mwaka 2009, hatua hiyo ikielezwa kuwa ya kihistoria. 

Sauti -
1'58"