Environment

Hali si shwari katika taifa changa zaidi duniani:Sudan Kusini

Ni wimbo wa taifa wa Sudan Kusini, ulipoimbwa kwa mara ya kwanza, kukaribisha kuzaliwa kwa taifa jipya kabisa duniani. Julai 9, mwaka 2011,ilikuwa ni siku ya sherehe na matarajio makubwa, kama alivyoeleza Katibu Mkuu Ban Ki-Moon wakati huo katika hotuba yake

Sauti -

Hali si shwari katika taifa changa zaidi duniani:Sudan Kusini

Umoja wa Mataifa waelekeza juhudi Somalia kuimarisha usalama na ujenzi wa taifa

Somalia, baada ya miongo miwili ya vita nchini humo juhudi za Umoja wa Mataifa na jumuiya ya kimataifa katika kusaidia ujenzi wa amani ya kudumu zimekuwa dhahiri ikiwemo kuhakikisha ratiba ya kuwa na serikali ya shirikisho na uchaguzi mwaka 2016 inazingatiwa, na  usaidizi wa vikosi vya Afrika nch

Sauti -

Umoja wa Mataifa waelekeza juhudi Somalia kuimarisha usalama na ujenzi wa taifa

2013 ulileta matumaini kwa wakazi wa mashariki mwa DR Congo

Machi 28 2013, itaingia katika vitabu vya historia siyo tu kwa DR Congo bali pia kwa ulimwengu mzima kwani Baraza la Usalama lilipitisha azimio namba 2098 lililoridhia kuundwa kwa brigedi maalum ya

Sauti -

2013 ulileta matumaini kwa wakazi wa mashariki mwa DR Congo

Dkt Salim azungumzia uongozi Afrika na mustakhbali wa Sudan Kusini

Mwaka 2013 umefikia ukomo. Barani Afrika, mengi yametokea na mengine yanaendelea kutokea.

Sauti -

Dkt Salim azungumzia uongozi Afrika na mustakhbali wa Sudan Kusini

UNHCR yasambaza vifaa vya kujikinga na baridi kali kwa wakimbizi wa Syria

Vifaa vya kujikinga na baridi kali vilivyosafirishwa kwa ndege hadi Kaskazini Mashariki mwa Syria wiki mbili zilizopita, sasa vimeanza kusambazwa kwa zaidi ya wananchi Elfu Hamsini walio kwenye mazingira hayo magumu.

Sauti -

UNHCR yasambaza vifaa vya kujikinga na baridi kali kwa wakimbizi wa Syria