elimu

Tutahakikisha wanafunzi walio nje ya shule wanasoma wakati wa COVID-19:UNESCO/ITU

Shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni UNESCO limezindua muungano wa elimu wa kimataifa ili kuhakikisha wanafunzi walio nje ya shule kutokana na mlipuko wa virusi vya Corona, COVID-19 wanasoma kupitia teknolojia

ITU na UNESCO washirikiana kuhakikisha elimu kwa wanafunzi

Shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni UNESCO limezindua muungano wa elimu wa kimataifa ili kuhakikisha wa

Sauti -
2'14"

UNICEF kuongeza msaada katika nchi 145 ili kuwezesha watoto kuendelea kujifunza, wakati huu wa COVID-19

Kufungwa kwa shule katika mataifa mbalimbali kukiingilia utaratibu wa masomo kwa zaidi ya asilimia 80 ya wanafunzi duniani kote, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF limetangaza hii leo kuwa litaongeza msaada wake kwa nchi zote ili kuwasaidia watoto kuendelea na ujifunzaji.

19 MACHI 2020

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Assumpta Massoi anakuletea

-Licha ya kutokuwa na mgonjwa hata mmoja wa COVID-19 serikali ya Uganda imefunga shule zote hadi vyuo vikuu katika maandalizi ya kupambana na mlipuko endapo utazuka ugonjwa huo

Sauti -
12'32"

COVID-19 kuathiri elimu ya mamilioni ya watoto duniani kote

Shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni UNESCO limesema nchi 100 duniani zimefunga kabisa au kwa kiasi fula

Sauti -
2'37"

Watoto milioni 776 wakosa kuhudhuria shule kwa sababu ya COVID-19:UNESCO

Shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni UNESCO limesema nchi 100 duniani zimefunga kabisa au kwa kiasi fulani shule na vituo vya elimu na kuwakosesha mamilioni ya watoto masomo, kwa sababu ya mlipuko wa COVID-19 unaoendelea.

Watoto wa jamii za kiasili na wale wa jamii za wachache wafundishwe kwa lugha yao wenyewe - mtaalam wa UN

Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa kuhusu masuala ya makabila madogo, kupitia ripoti yake aliyoiwasilisha hii leo mbele ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa mjini Geneva Uswisi amesema ni lazima watoto wanaotoka  jamii za wachache, wafundishwe kwa lugha yao inapowezekana ili kufikia lengo

Sauti -
2'3"

Mataifa lazima yafundishe watoto wa kiasili na wale wa jamii za wachache kwa lugha yao wenyewe - mtaalam wa UN

Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa kuhusu masuala ya makabila madogo, kupitia ripoti yake aliyoiwasilisha hii leo mbele ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa mjini Geneva Uswisi amesema ni lazima watoto wanaotoka  jamii za wachache, wafundishwe kwa lugha yao inapowezekana ili kufikia lengo la ujumuishwaji na elimu bora pamoja na kuheshimu haki za binadamu za watoto wote.

Mlo shuleni ni kichocheo cha maendeleo na ukuaji uchumi Afrika:WFP/FAO

Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP limeungana na Muungano wa Afrika AU, na nchi kote barani Afrika kuadhimisha siku ya mlo shuleni likisisitiza kwamba uwekezaji katika nguvu kazi kupitia mipango ya afya na lishe bora mashuleni kunaweza kuleta faida kubwa zaidi ya kupata elimu. 

WFP na FAO zasema mlo shuleni ni kichocheo cha maendeleo na ukuaji uchumi Afrika

Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP limeungana na Muungano wa Afrika AU, na nchi kote barani Afrika kuadhimisha siku ya mlo shuleni likisisitiza kwamba uwekezaji katika nguvu kazi kupitia mipango ya afya na lishe bora mashuleni kunaweza kuleta faida kubwa zaidi ya

Sauti -
1'45"