elimu

UNESCO yasema kila mmoja atapata hasara ikiwa elimu ya mkimbizi na mhamiaji ikipuuzwa.

Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa ya kufuatilia elimu ikisema idadi ya watoto wahamiaji na wakimbizi duniani waliofikisha  umri wa kwenda shule ikiongezeka na kukaribia kujaza madarasa nusu milioni, Uganda ni miongoni mwa nchi 10 zilizopongezwa kwa kuwapatia wakimbizi fursa sahihi ya elimu

Sauti -
1'22"

Kila mmoja atapata hasara elimu ya mkimbizi na mhamiaji ikipuuzwa:UNESCO

Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa ya kufuatilia elimu ikisema idadi ya watoto wahamiaji na wakimbizi duniani waliofikisha  umri wa kwenda shule ikiongezeka na kukaribia kujaza madarasa nusu milioni, Uganda ni miongoni mwa nchi 10 zilizopongezwa kwa kuwapatia wakimbizi fursa sahihi ya elimu.

16 Novemba 2018

Katika Jarida la Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anaangazia 

-Utapiamlo uliokithiri katika ukanda wa Sahel, ambako watoto zaidi ya milioni 1.3 wahitaji tiba haraka

-Stahamala sio tu kuvumiliana bali ni kuwa tayari kuwakubali wengine kwa misingi ya haki

Sauti -
10'31"

07 Oktoba 2018

Katika jarida la Umoja wa Mataifa leo Siraj Kalyango anaangazia

-Chanjo ya Ebola kwa wahudumu wa afya Uganda imeanza katika kujihadhari kabla ya shari

Sauti -
11'35"