elimu

21 Septemba 2018

Kofi Annan aenziwa Umoja wa  Mataifa, Guterres asema hauwezi kumtenganisha Kofi na Umoja wa Mataifa. Tunabisha hodi Sudan Kusini vijana wazungumzia kuhusu amani ya nchi hiyo. Je wanataka nini?

Sauti -
12'1"

Watoto milioni 303 duniani hawasomi

Watoto  na barubaru milioni 303 duniani kote hawako shuleni na hivyo kutishia mustakhbali wa kundi hilo lenye umri wa kati ya miaka 5 hadi 17, imesema ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto,

Sauti -
1'44"