elimu

Watoto wakimbizi milioni nne hawaendi shuleni

Ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR, imesema  watoto wakimbizi zaidi ya milioni nne hawapati fursa

Sauti -
1'21"

Wakimbizi milioni nne wakosa elimu; UNHCR

Ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mtaifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR, imesema  watoto wakimbizi zaidi ya milioni nne hawapati fursa ya kuhudhuria shule wakati huu ampapo idadi ya wanaokimbia vita na majanga mengine inaongezeka duniani kote.

Ufadhili wa elimu wahitajika ili kuokoa “kizazi kilichopotea” cha watoto warohingya: UNICEF

Zaidi ya watoto nusu milioni wakimbizi wa kabila la Rohingya waliosaka hifadhi kusini mwa Bangladesh wananyimwa fursa ya elimu na hivyo juhudi za dharura za kimataifa zinahitajika ili kuepusha watoto hao wasikate tamaa.

Sauti -
2'10"

Natimiza ndoto ya dada yangu - Kijana Sharifa

Ndoto! “Ndoto yangu ni kuwa nataka kufanikiwa na kuleta mabadiliko katika jamii yangu”. Hiyo ni kauli ya kijana Sharifa Kato ambaye anasema amezaliwa katika wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam nchini Tanzania.

Sauti -
4'18"