elimu

12 Julai 2018

Katika Jarida la leo Alhamisi Assumpta Massoi anawasilisha masuala mbalimbali:Pesa nyingi zapotea usipomsomesha mtoto wa kike, Flora Nducha anachambua ripoti mpya ya  Benki ya Dunia;Uganda  inaendelea katika gurudumu la  kufanikisha SDGs, ni kwa mujibu wa afisa mratibu wa SDGs akizungumza na idha

Sauti -
11'33"

Matrilioni ya dola yapotea kwa kutomsomesha mtoto wa kike- ripoti

Nchi nyingi duniani hususan zile za kipato cha chini bado zinaona si mtaji kumpeleka shule mtoto wa kike, jambo ambalo hii leo Benki ya Dunia inasema limepitwa na wakati, kwa kuwa ukiwekeza kwa mtoto wa kike umewekeza kwa dunia nzima.

“Kamata weka ndani kwa kutotii amri halali!”

Utoro mashuleni ni moja ya tishio kubwa la kutotimiza lengo namba nne la maendeleo endelevu lihusulo elimu kama hautodhibitiwa nchini Tanzania. Sasa serikali imeamua kulivalia njuga sula hilo kwa kampeni ya mkoa kwa mkoa na mkono wa sheria.

Sauti -
2'

Utoro usipodhibitiwa lengo la elimu itakuwa ndoto Tanzania:

Utoro mashuleni ni moja ya tishio kubwa la kutotimiza lengo namba nne la maendeleo endelevu lihusulo elimu kama hautodhibitiwa nchini Tanzania. Sasa serikali imeamua kulivalia njuga sula hilo kwa kampeni ya mkoa kwa mkoa na mkono wa sheria.

Kampeni ya kupinga utoro shuleni na utumikishwaji wa watoto yazinduliwa Tanzania

Utoro mashuleni ni moja ya tishio kubwa la kutotimiza lengo namba nne la maendeleo endelevu lihusulo elimu kama hautodhibitiwa nchini Tanzania. Sasa serikali imeamua kulivalia njuga suala hilo kwa kampeni ya mkoa kwa mkoa na mkono wa sheria.

Sauti -
3'28"