elimu

17 Mei 2018

Flora Nducha katika Jarida la habari hii leo anaangazia

1. Ripoti ya WHO kuhusu uhusiano baina ya utipwatipwa na uvutaji sigara

Sauti -
9'56"

Kutegemea msaada ni mtihani kwa elimu ya nchi za kipato cha chini na cha kati:Kikwete

Hali ya kuwa tegemezi wa misaada inadumaza nchi nyingi kiuchumi na hata kijamii, ikiwemo katika maendeleo ya elimu. Sasa nchi masikini na zenye kipato cha wastani zinachagizwa kuondokana na hali hiyo ili kujikwamua na mzunguko wa umasikini ikiwemo elimu duni na jopo la kimataifa la ufadhili kwa ajili ya elimu limezindua ombi la dola bilioni moja kuzisaidia nchi hizo kuepukana na utegemezi.

Katu hatukubali watoto milioni 250 wawe mbumbumbu

Umoja wa Mataifa leo umepokea ombi lililotiwa saini na vijana milioni 1.5 duniani la kutaka uwekezaji zaidi kwenye elimu.

Sauti -
2'50"

Katu hatukubali watoto milioni 250 wawe mbumbumbu- UN

Elimu yasalia ndoto kwa watoto wengi duniani hususan wa kike, sasa hii leo vijana wenzao wamechukua hatua madhubuti.