elimu

UN na wadau waleta matumaini kwa watoto wakimbizi Rwanda

Watoto wakimbizi nchini Rwanda sasa wanaona nuru katika maisha yao kutokana na ushirikiano kati ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR na mfuko wa H&M. 

Sauti -
1'22"

Elimu kwa mtoto wa kike kwa jamii za wafugaji bado ni mtihani

Mbali ya mila na desturi, mazingira na mazoea vimetajwa kuwa chachu ya kumkosesha elimu mtoto wa jamii za wafugaji nchini Tanzania kama Wamaasai na Wamang’ati.

Sauti -
2'7"

09 Aprili 2018

Jaridani leo tunaangazia Syria ambako uchunguzi umeanza kuweza kubaini iwapo silaha za kemikali zimetumika kwenye shambulio dhidi ya raia huko Douma. Pia tunaangazia swala la elimu kwa mtoto wa jamii za wafugaji na makala ikimulika matumizi ya biomasi kudhibiti mabadiliko ya tabianchi, Uganda. 

Sauti -
9'59"