elimu

Faida ya kuinuliwa nawe uinuwe wengingine:KPL

Kikao cha 62 cha kamisheni ya hali ya wanawake duniani kikiendelea kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa New York Marekani, washiriki wanaendelea kupigia chepuo juhudi za ukombozi wa wanawake na wasicha wa vijijini kwa kuelezea wanachokifanya. Leo tumekutana na mwanaharakati kutoka nchini Kenya.

Unaposaidiwa usiwasahau wenye dhiki:Khoboso

Khoboso Hargura Adichaereh baada ya kyusaidiwa kusoma aliona umuhimu wa elimu na hasa kwenye jamii ya rendile nchini Kenya ambako mtoto wa kike huishia kuolewa akiwa na umri mdogo. Akaamua kuchukua hatua kuwanza kusomesha watoto wa jamii hiyo ili siku nao wajikomboe na kusaidia wengine.

Sauti -
1'41"