Economic development

Neno la wiki - Ndongosa

Wiki hii tunaangazia neno "Ndongosa" na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi, katika Baraza la Kiswahili la Taifa, BAKITA, nchini Tanzania.

Bwana Sigalla anasema neno “Ndongosa” ni ng'ombe wa kike ambaye anatoka kwenye hali ya undama kuingia ukubwa lakini bado hajapandwa.

Sauti -

Neno la wiki - Ndongosa

Ngoma ya vinyago yainyanyua Cote d'Ivoire

Utamaduni ni kielelezo cha utashi wa kila jamii ambapo kupitia utamaduni huo jamii hujielezea ilivyo na kujitambulisha pia kwa jamii zingine. Nchini Cote d' Ivoire katika jamii ya Guro, ngoma yao inayotumia vinyago imekuwa na manufaa kwa jamii na nchi nzima hadi kutambuliwa na Umoja wa Mataifa.

Sauti -

Ngoma ya vinyago yainyanyua Cote d'Ivoire

Imani potofu kikwazo cha vita dhidi ya Ukoma- UN

Imani potofu kama vile kulogwa zimeripotiwa kuwa ni kikwazo katika kutibu ugonjwa wa Ukoma wakati huu ambapo visa vipya 200,000 vya ukoma huripotiwa kila mwaka.

Sauti -

Imani potofu kikwazo cha vita dhidi ya Ukoma- UN

Umoja wa Mataifa walaani vikali vifo vya makusudi vya wahamiaji 30

Mashirika ya Umoja wa Mataifa , la kuhudumia wakimbizi UNHCR na la uhamiaji IOM leo wamelaani vikali na kuelezea simanzi yao baada ya k

Sauti -

Umoja wa Mataifa walaani vikali vifo vya makusudi vya wahamiaji 30

Tumieni fursa ya Davos kuweka bayana taswira ya Afrika- Dkt. Kituyi

Jukwaa la kiuchumi duniani likiendelea huko Davos, Uswisi, Katibu Mkuu wa Kamati ya biashara na maendeleo ya Umoja wa Mataifa, Dkt. Mukhisa Kituyi ametaja umuhimu wa viongozi wa Afrika na wengineo wenye fikra endelevu kushiriki katika vikao vya aina hiyo.

Sauti -

Tumieni fursa ya Davos kuweka bayana taswira ya Afrika- Dkt. Kituyi