Economic development

Banbury aanza ziara ya mwisho Afrika Magharibi, awasili Liberia leo

UNFPA Tanzania yaendesha kambi za mafunzo ya ukeketaji, ndoa za utotoni na tohara asilia.

Katika kusongesha juhudi za kampeni dhidi ya  ndoa za utotoni, ukeketaji na tohara za njia za asili , Shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu UNFPA

Sauti -

UNFPA Tanzania yaendesha kambi za mafunzo ya ukeketaji, ndoa za utotoni na tohara asilia.

WFP yakaribisha usafiri wa msaada kupitia mto Nile

Msaada huo wa tani 450 utasaidia katika kulisha watu takriban 28,000 kwa mwezi moja kama sehemu ya mradi uliozinduliwa mwezi Novemba wa kufikisha chakula nchini Sudan Kusini kupitia Sudan. Kaimu msimamizi wa WFP nchini Sudan kusini Stephen Kearney amesema kwamba hii ni mara ya kwanza ambapo Shiri

Sauti -

WFP yakaribisha usafiri wa msaada kupitia mto Nile

India yashirikiana na Umoja wa Mataifa kuimarisha utoaji wa tahadhari, miaka kumi baada ya Tsunami

Serikali ya India imetangaza leo kutoa mchango wa dola milioni moja kwa ajili ya mfuko wa ufadhili wa tume ya uchumi na kijamii kwenye ukanda wa Asia Pasifiki, ESCAP, kuhusu Tsunami, majanga na mabadiliko ya hali ya hewa.

Sauti -

India yashirikiana na Umoja wa Mataifa kuimarisha utoaji wa tahadhari, miaka kumi baada ya Tsunami

Haki ya watu wenye ulemavu wa ngozi albino

Tamko Umoja wa Mataifa  la haki za binadamu ni nguzo muhimu katika kulinda, na kutetea haki za makundi yote katika jamii kwa kuzingatia heshima na utu wa binadamu yeyote popote alipo.Tamko hilo la mwaka 1948 limetiliwa saini na nchi mbalimabli duniani wakiahidi kulinda haki za watu wao katika Nya

Sauti -

Haki ya watu wenye ulemavu wa ngozi albino

Bodaboda, muziki vyatumika kusambaza elimu ya Ebola

Huko Afrika Magharibi, mbinu mbalimbali zinatumiwa katika kuhakikisha elimu ya mapambano dhidi ya Ebola inawafikia walengwa. Miongoni mwa mbinu hizo yakinifu ni kwa kupitia wanamuziki ambao wanafikisha ujumbe kirahisi kwa jamii kupitia tasnia ya burudani.

Sauti -