Economic development

UNRWA yatoa mafunzo kwa wanafunzi wakimbizi kutengeza bidhaa kwa taka

Mkwamo vikubwa kwa ajili ya Ulinzi wa Watoto, repoti Mpya ya UM kuhusu Watoto katika mgogoro wa Sudan Kusini

Ripoti ya kwanza ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu watoto na mgogoro wa kutumia silaha Sudan Kusini iliyochapishwa leo inamesema mgogoro nchini humo umeleta mkwamo mkubwa kwa ajili ya ulinzi wa watoto.

Sauti -

Mkwamo vikubwa kwa ajili ya Ulinzi wa Watoto, repoti Mpya ya UM kuhusu Watoto katika mgogoro wa Sudan Kusini

UNSMIL yalaani shambulizi la kigaidi nchini Libya

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya, UNSMIL umelaani shambulizi la kigaidi lilolenga hoteli katika mji wa Tobruk nchini Libya.

Wakati was shambulizi hilo baraza la wawakilishi la Libya lilikuwa likifanya kikao chake katika hoteli hiyo ilioko karibu na mpaka wa Misri.

Sauti -

UNSMIL yalaani shambulizi la kigaidi nchini Libya

Ufadhili wawezesha WFP kurejesha mgao wa chakula kwa wakimbizi Kenya

Shirika la chakula duniani WFP limetangaza kurejelea mgao wa chakula kwa wakimbizi walioko nchini Kenya mwezi Januari kufuatia ufadhili kutoka kwa wahisani. Taarifa kamili na Amina Hassan.

(Taarifa ya Amina)

Sauti -

Ufadhili wawezesha WFP kurejesha mgao wa chakula kwa wakimbizi Kenya

Machafuko yakiendelea Sudan na Sudani Kusini vikwazo viwekwe: Dk Salim

Wakati baraza la usalama la Umoja wa Mataifa likikutana leo kwa mashauriano kuhusu hali nchini Sudan na Sudan Kusini mwanadiplomasia na mmoja wa wapatanishi wa mgogoro nchini humo kupitia muunganao wa Afrika AU  Dk Salim Ahmed Salim, amesema pamoja na juhudi za upatanishi bado machafuko yanaendel

Sauti -

Machafuko yakiendelea Sudan na Sudani Kusini vikwazo viwekwe: Dk Salim

Hali ya haki za binadamu Bahrain inasikikitisha

Ofisi ya Haki za Binadamu  Umoja wa Mataifa imeelezea wasiwasi wake kuhusu kukamatwa kwa kiongozi wa kikundi cha harakati za upinzani  cha Al Wefaq, Sheikh Ali Salman, na unyanyasaji na kuweka korokoroni kwa watu wanaotekeleza haki zao za uhuru wa maoni na kujieleza.

Sauti -