Wakati akihitimisha ziara yake ya Pembe ya Afrika huko Nairobi Kenya siku ya Ijumaa, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban ki-moon ametembelea ofisi ya Ushahidi/Ihub, ambayo ni ya shirika linalotumia teknolojia katika kukabiliana na changamoto za kisasa.