Economic development

Ban azitaka nchi za Afrika kulinda haki za binadamu

Mazao mbadala pekee si suluhu ya kutokomeza madawa ya kulevya:Ashe

Katika siku ya kimataifa ya kupinga matumizi ya madawa ya kulevya na usafirishaji haramu wa bidhaa ikiwemo madawa ya kulevya, Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa John Ashe ametaka serikali kuendelea kuwapatia wananchi wake fursa mbadala za kujikwamua kiuchumi ili kuondokana na tatizo la madawa

Sauti -

Mazao mbadala pekee si suluhu ya kutokomeza madawa ya kulevya:Ashe

Baharia amekuletea nini?:IMO

Siku ya mabaharia duniani imeadhimishwa kwa kutambua mchango wa kundi hilo katika maisha ya kila siku ya jamii nzima duniani.

Sauti -

Baharia amekuletea nini?:IMO

Mkurugenzi wa WFP atathmini mahitaji ya kibinadamu Kaskazini mwa Iraq

Mkurugenzi mkuu was shirika la mpango wa chakula duniani WFP Ertharin Cousin amehitimisha ziara yake ya siku mbili nchini Iraq ambako pamoja na mambo mengine  amekutana na familia zilizokimbia mapigano katika mji wa Mosul .Taarifa kamili na George Njogopa

TAARIFA YA GEORGE

Sauti -

Mkurugenzi wa WFP atathmini mahitaji ya kibinadamu Kaskazini mwa Iraq

Tanzania yapazia sauti Mkataba wa Bamako kuhusu uteketezaji wa kemikali za sumu:

Mwakilishi wa Tanzania kwenye ofisi ya Umoja wa Mataifa Nairobi, Dkt.

Sauti -

Tanzania yapazia sauti Mkataba wa Bamako kuhusu uteketezaji wa kemikali za sumu:

Baharia amekuletea nini? IMO yasaka jibu kupitia mitandao ya kijamii

Leo tarehe 25 Juni ni siku ya mabaharia duniani ambapo ujumbe wa siku hii ni kutafakari mchango wa mabaharia ulimwenguni wakati huu ambapo shirika la kimataifa la masuala ya bahari, IMO likisema mchango wao haupewi umuhimu unaoustahili.

Sauti -