Economic development

Kudhibiti Ebola yahitaji mshikamano wa nchi zote Afrika Magharibi: WHO

Ban awapongeza Walibya kwa uchaguzi na kulaani ghasia

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, ametuma risala za pongezi kwa watu wa Libya kwa uchaguzi wa Baraza la Wawakilishi.

Sauti -

Ban awapongeza Walibya kwa uchaguzi na kulaani ghasia

Baraza la Usalama laombwa kusaidia maisha ya watu milioni 10.8 Syria

Mkuu wa Ofisi ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu katika Umoja wa Mataifa, Valerie Amos, amelihutubia Baraza la Usalama leo, akimulika ripoti ya nne kuhusu hali ya kibinadamu nchini Syria tangu kupitishwa kwa azimio namba 2139 la kuruhusu kufikishwa kwa misaada ya kibinadamu kwa walengwa nchini hum

Sauti -

Baraza la Usalama laombwa kusaidia maisha ya watu milioni 10.8 Syria

UNHCR yahofia wakimbizi wa DRC kurudi nyumbani kwa safari binafsi

Nchini Uganda, Naibu Mwakilishi wa Shirika la Umoja  Kuhudumia Wakimbizi la UNHCR, ameguswa na taarifa za wakimbizi wa Jamhuri ya Kidem

Sauti -

UNHCR yahofia wakimbizi wa DRC kurudi nyumbani kwa safari binafsi

Nchi za Afrika ya Mashariki zapambana na biashara haramu ya mbao

Wakati mkutano wa  kwanza wa baraza la mazingira UNEA ukiendelea mjini Nairobi, serikali za Kenya, Uganda na Tanzania zimetangaza kuanzisha mradi mpya wa pamoja ili kupambana na biashara haramu ya mbao, kwa ushirikiano na mashirika ya Umoja wa Mataifa na INTERPOL.

Sauti -

Nchi za Afrika ya Mashariki zapambana na biashara haramu ya mbao

Ban azitaka nchi za Afrika kulinda haki za binadamu

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, leo ametoa wito kwa nchi za bara la Afrika kuheshimu na kulinda Haki za Binadamu, wakati akiuhutubia mkutano wa viongozi wa Afrika mjini Malabo, nchini Equatorial Guinea. Taarifa kamili na Joshua Mmali

Sauti -