Economic development

Ziarani Kenya, Ban akutana na Kenyatta; apanga mtoto wa simba

Ziarani Kenya, Ban akutana na Kenyatta; apanga mtoto wa simba

Alipohudhuria mkutano wa kwanza wa Baraza la Umoja wa Mataifa la Mazingira UNEA, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amekutana ikuluniNairobina Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta.

Sauti -

Hilde Johnson aaga UNMISS , asema amani inahitajika kwa wakimbizi

Hilde Johnson aaga UNMISS , asema amani inahitajika kwa wakimbizi

Mwezi wa Julai, tarehe 9, mwaka huu, nchi ya Sudan Kusini itaadhimisha miaka mitatu ya uhuru wake, na wakati uo huo, mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Hilde Johnson, ataondoka nchini humo, akiwa ametimiza miaka mitatu kama mkuu wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa Sudan Kusini,

Sauti -

Jumuiya ya vijana (UN Chapter) yazinduliwa Zanzibar

Jumuiya ya vijana (UN Chapter) yazinduliwa Zanzibar

Jumuiya za Vijana za Umoja wa Mataifa ama UN Chapters ni vituo vilivyomo ndani ya vyuo vikuu vikiwa na lengo la kuelimisha vijana kuhusu shughuli za Umoja wa Mataifa, na pia kuwahamasisha kuhusu masuala mbalimbali ya kimaendeleo, na hasa kuwapa nafasi ya kushiriki katika miradi ya maendeleo na pi

Sauti -

Huduma za umeme na maji zimetatizika Aleppo, Syria: OCHA

Huduma za umeme na maji zimetatizika Aleppo, Syria: OCHA

Ofisi ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu, OCHA, imesema imepokea ripoti kuwa baadhi ya maeneo ya mji wa Aleppo nchini Syria hazina huduma za umeme kabisa, huku mengine yakiwa na umeme kwa chini ya saa moja kila siku.

Sauti -

Wanawake na watoto wote wanastahili kupewa fursa sawa maishani: Ban

Wanawake na watoto wote wanastahili kupewa fursa sawa maishani: Ban

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon, ameliambia kongamano la ubia kuhusu afya ya waja wazito na watoto mjini Johannesburg kuwa ni lazima kuwepo usawa katika kuwasaidia wanawake na watoto ambao wanakabiliwa na hatari ya utaka na vifo.

Sauti -