Economic development

Kampeni ya Mtoto kwa Mtoto ni jawabu sahihi la vita dhidi ya Polio Kenya

Tangu kugundulika kwa polio nchini Kenya mwezi Mei 2013 UNICEF imebuni mikakati kuhakikisha kwamba watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano wana

Sauti -

Kampeni ya Mtoto kwa Mtoto ni jawabu sahihi la vita dhidi ya Polio Kenya

Ban akutana na Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete, wajadili DRC na Burundi

Akihudhuria kongamano kuhusu afya ya wakina mama na watoto, Toronto, nchini Canada, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekutana na Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania.

Sauti -

Ban akutana na Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete, wajadili DRC na Burundi

Tuongeze kasi katika juhudi za kukabiliana na vifo vya watoto na waja wazito: Ban

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, ametoa wito kasi iongezwe katika juhudi za kuendeleza hatua za kukabiliana na vifo vya utotoni na waja wazito. Taarifa kamili na Assumpta Massoi.

Sauti -

Tuongeze kasi katika juhudi za kukabiliana na vifo vya watoto na waja wazito: Ban

Denmark yatoa Msaada kwa Shirika la UNICEF nchini Paskistan

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF nchiniPakistan, imepokea masaada kutokaDenmarkya Dola Milioni 11 kufadhili mpango wa miaka

Sauti -

Denmark yatoa Msaada kwa Shirika la UNICEF nchini Paskistan