Economic development

FAO na kaulimbiu "Samaki safi, maisha bora"

Uvuvi wa kupindukia ni moja ya tishio kubwa kwa utunzaji wa rasilimali za mabahari na usalama endelevu wa chakula. Shirika la chakula na Kilimo Duniani

Sauti -

FAO na kaulimbiu "Samaki safi, maisha bora"

Amos kuhusu Syria: Nimetoa shuhuda na mapendekezo sasa Baraza ndio la kuchukua hatua:

Ni miezi miwili sasa tangu azimio nambari 2319 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupitishwa kuhusu Syria lakini bado hali ni mbaya nchini humo, amesema Valerie Amos Mkuu wa masuala ya usaidizi wa binadamu kwenye Umoja wa Mataifa katika sentensi yake ya ufunguzi alipozungumza na waandishi w

Sauti -

Amos kuhusu Syria: Nimetoa shuhuda na mapendekezo sasa Baraza ndio la kuchukua hatua:

“Lazima mtambue umuhimu wa kushirikiana”

Nchi za eneo la kaskazini na Asia ya Kati zimepaswa kutambua kuwa zinawajibu wa kukubali kushirikiana kwani bila kufanya hivyo agenda ya kuwa na maendeleo endeleo inaweza ikawa ndoto kufikiwa.

Sauti -

“Lazima mtambue umuhimu wa kushirikiana”

Nchi zatakiwa kuharakisha utekelezaji makubaliano ya UNFCCC

Makubaliano ya kimataifa yaliyofikiwa hivi karibuni ambayo ndiyo maamizio ya pamoja kuhusu mabadiliko ya tabia nchi yanapaswa kuridhiwa na kutekelezwa kwa vitendo na nchi husika ili kufikia shabaha iliyowekwa.

Sauti -

Nchi zatakiwa kuharakisha utekelezaji makubaliano ya UNFCCC

Ban azungumza kwa simu na Salva Kiir kusisitiza amani Sudan Kusini

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ametoa wito akitaka kukomeshwa kwa matukio ya mauaji ya raia yanayojiri huko Sudan Kusin na kusisitiza pia hatua zinazopaswa kuchukuliwa na serikali ili kuwanusuru wananchi wanaendelea kupoteza maisha kutokana na machafuko ya kisiasa yanayoendelea.

Sauti -

Ban azungumza kwa simu na Salva Kiir kusisitiza amani Sudan Kusini