Economic development

Uhaba wa maji wamulikiwa nchini Tanzania

 

Dunia ikiwa imeangazia umuhimu wa maji kwa siku maalum hivi karibuni, upatikanajai wa maji bado ni changamoto kubwa katika nchi zinazoendelea mathalani Tanzania ambapo jamii nyingi hazipati maji kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na kazi nyinginezo.

Sauti -

Uhaba wa maji wamulikiwa nchini Tanzania

Tamko la serikali Kenya kuhusu wakimbizi lazua hofu:UNHCR

Kenya ni moja ya nchi ambayo inahifadhi wakimbizi. Katika siku za hivi majuzi kumekuwa na maswala yanayoibuka kuhusu uhusiano wa uwepo wa wakimbizi katika maeneno tofauti na hali ya usalama nchini humo.

Sauti -

Tamko la serikali Kenya kuhusu wakimbizi lazua hofu:UNHCR

Sierra Leone tumeimarika sasa tunasonga mbele: Waziri Kamara

Safari ya miaka 15 ya Umoja wa Mataifa kusaidia ujenzi wa amani nchini Sierra Leone baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe imefikia ukingoni mwishoni mwa mwezi huu na hii leo Baraza la Usalama limepokea ripoti ya Katibu Mkuu kuhusu majukumu yaliyotokelewa na changamoto zilizobakia baada ya hatua h

Sauti -

Sierra Leone tumeimarika sasa tunasonga mbele: Waziri Kamara

Ban alaani mauaji ya mlinzi kutoka Iran

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amelaani vikali mauaji ya mlinzi wa mpaka kutoka Iran na kundi la wanamgambo. Mlinzi huyo alikuwa mmoja wa walinzi watano ambao walitekwa nyara na kundi hilo kusini mashariki mwa mpaka mapema mwezi Februari.

Sauti -

Ban alaani mauaji ya mlinzi kutoka Iran

Vietnam yaombwa isitishe kuwafukuza wakaazi

Wataalamu huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za bindamu wametolea wito serikali yaVietnam kuingilia kati na kusitisha shughuli za kuwafukuza wakaazi wa kijiji kidogo katikati mwa nchi.

Sauti -

Vietnam yaombwa isitishe kuwafukuza wakaazi