Economic development

Ziara ya Ban nchini Greenland

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon alikuwa ziarani nchini Greenland ambapo amepata fursa ya kujionea mabadiliko ya tabia nchi ikiwa ni maandalizi ya kuelekea kwenye mkutano kuhusu mabadiliko hayo.

Asumpta Massoi amefuatalia ziara hiyo.

Sauti -

Ziara ya Ban nchini Greenland

Kituo cha teknolojia kukuza ajira na upatikanaji wa nishati Ethiopia

Kituo cha kukuza makampuni chipukizi ya teknolojia safi ambayo inashughulikia masuala ya mabadiliko ya tabia nchi na kuongeza ajira kimezinduliwa mjini Adis Ababa Ethipoia.

Sauti -

Kituo cha teknolojia kukuza ajira na upatikanaji wa nishati Ethiopia

Hali ya usalama nchini CAR bado ni tete:UNHCR

Shrika la kuhudumia wakimbizi katika Umoja wa Mataifa UNHCR, limesema kwamba hali ya usalama Bangui nchini Jamhuri ya Afrika ya kat ni

Sauti -

Hali ya usalama nchini CAR bado ni tete:UNHCR

Watu zaidi wafariki Guinea kutokana na mlipuko wa Ebola

Shirika la Afya Duniani, WHO, limetangaza leo kwamba tayari watu 66 wamefariki kutokana na virusi vya Ebola, mwezi mmoja tu baada ya kuibuka kwa virusi hivyo

Sauti -

Watu zaidi wafariki Guinea kutokana na mlipuko wa Ebola

Watoto wazidi kuteseka Sudani Kusini: UNICEF

Siku mia moja tangu kuzuka kwa mzozo nchini Sudani Kusini, watoto ndio waaathiria wakuu kutokana na machafuko na kukosa makazi kunakozidi kuwakumba raia nchini humo, liomesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto

Sauti -

Watoto wazidi kuteseka Sudani Kusini: UNICEF