Economic development

Wakuu wa WFP na UNHCR wawasili Juba

Katika harakati za kubaini hali halisi inayowakumba wananchi wa Sudan Kusini tangu mapigano ya wenyewe kwa wenyewe yazuke nchini humo tarehe 15 Disemba mwaka jana, hii leo wakurugenzi wakuu wa mashirika ya usaidizi ya Umoja wa Mataifa wamewasili mjini Juba, kwa ziara ya siku mbili.

Sauti -

Wakuu wa WFP na UNHCR wawasili Juba

Uingereza yatoa msaada kwa FAO kunusuru waathiriwa wa mzozo Sudani Kusini

Shirika la Chakula na Kilimo duniani,

Sauti -

Uingereza yatoa msaada kwa FAO kunusuru waathiriwa wa mzozo Sudani Kusini

Mkutano wa UNCTAD kuangazia umuhimu wa kuongeza thamani za bidhaa

Kamati ya biashara na Maendeleo ya Umoja wa Mataifa, UNCTAD imeandaa mkutano wa kimataifa wa bidhaa utakaofanyika kwa siku mbili kuanzia tarehe Saba mwezi ujao huko Geneva, Uswisi.

Sauti -

Mkutano wa UNCTAD kuangazia umuhimu wa kuongeza thamani za bidhaa

Japan yatakiwa kusitisha uvuvi wa nyangumi huku Antarctic

Mahakama ya haki ya kimataifa ya haki, ICJ leo imetangaza kuwa uvuvi unaofanywa na Japan kwenye eneo la Antarctic ni kinyume na mkataba wa kimataifa na hivyo kutakiwa kusitisha mara moja.

Sauti -

Japan yatakiwa kusitisha uvuvi wa nyangumi huku Antarctic

Mzozo wa Ukraine umegeuka kuwa mzozano kuhusu Ukraine: Ban

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon, amesema kuwa kilichoanza kama mzozo wa Ukraine, sasa kimebadilika kuwa mzozano kuhusu Ukraine.

Sauti -

Mzozo wa Ukraine umegeuka kuwa mzozano kuhusu Ukraine: Ban