Economic development

UNDP yazindua mkakati wa kuwezesha vijana katika maendeleo

UNDP yazindua mkakati wa kuwezesha vijana katika maendeleo

Shirika la mpango wa maendeleo la Umoja wa Mataifa, UNDP, limezindua kongamano la siku tatu kuhusu vijana na maendeleo, huku Tunisia likisema kuwa licha ya kwamba vijana, ndio wanaokabiliwa zaidi na umaskini na shida za kiuchumi, afya au ghasia bado wana umuhimu

Sauti -

Ban ziarani Ulaya na Afrika: Kesho kushiriki mkutano wa kimataifa wa kuzuia mauaji ya kimbari

Ban ziarani Ulaya na Afrika: Kesho kushiriki mkutano wa kimataifa wa kuzuia mauaji ya kimbari

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon anaelekea Brussels, Ubelgiji ambapo kesho atajumuika kwenye siku ya pili ya mkutano wa kimataifa kuhusu uzuiaji wa mauaji ya kimbari.

Sauti -

Tunaondoka Sierra Leone tukijivunia mengi: UNIPSIL

Tunaondoka Sierra Leone tukijivunia mengi: UNIPSIL

Tunaondoka wakati muafaka wakati Sierra Leone inachukua hatamu ya kusongesha mbele maendeleo yake, ni kauli ya Jens Toyberg-Frandzen, Mwakilishi mtendaji wa Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mkuu wa ofisi ya ujenzi wa amani ya Umoja huo nchini Sierra Leone, UNIPSIL aliyotoa wakati huu ambapo ofi

Sauti -

Kuna umuhimu wa kuorodhesha wapinga amani CAR ili wawajibishwe kisheria: Ban

Kuna umuhimu wa kuorodhesha wapinga amani CAR ili wawajibishwe kisheria: Ban

Kuendelea kuzorota kwa hali ya usalama nchini Jamhuri ya Afrika Kati, CAR, kumeendelea kumtia wasiwasi Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon huku akishutumu kwa kiwango cha juu zaidi ghasia zozote zinazofanywa dhidi ya raia wasio na hatia na vikosi vya kimataifa.

Sauti -

Ban ataka hatua madhubuti kuelekea mkutano wa kilele kuhusu hali ya hewa

Ban ataka hatua madhubuti kuelekea mkutano wa kilele kuhusu hali ya hewa

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ametaka mataifa yote duniani kutangaza hatua za haraka na za kijasiri kuelekea mkutano wa hali ya hewa mwezi Septemba mwaka huu kwa kuzingatia ripoti mpya ya mabadiliko ya tabianchi.

Sauti -