Economic development

Hali ya Ukraine yatia shaka Baraza la Usalama

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa alasiri ya leo limekuwa na kikao cha dharura na cha faragha kuhusu hali ilivyo nchini Ukraine.

Sauti -

Hali ya Ukraine yatia shaka Baraza la Usalama

Mimba na ndoa za utotoni kupingwa kwa marathoni Jumapili

Nchini Tanzania Jumapili hii kutafanyika mbio za kimataifa za  marathoni za Kilimanjaro Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya watu, UNFPA  itatumia mbi

Sauti -

Mimba na ndoa za utotoni kupingwa kwa marathoni Jumapili

Kumbukumbu ya miaka 20 baada ya mauaji ya Rwanda yafanyika New york

Miaka 20 baada ya mauaji ya kimbari nchini Rwanda, utengamano unaolenga kuhakikisha matukio hayo hayajirudii tena ndiyo kitu muhimu kwa sasa. Taifa hilo limeadhimisha miaka 20 ya mauaji kwa hafla maalum ya kumbu kumbu iliyofanyika makaoa makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York.

Sauti -

Kumbukumbu ya miaka 20 baada ya mauaji ya Rwanda yafanyika New york

Watu 140 000 kupatiwa chanjo dhidi ya Kipindupindu Sudan Kusini

Shirika la afya duniani WHO Kwa kushirikiana na serikali ya Sudan Kusini na wadau wake linaanza kampeni ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa kipindupindu kwa watu wa

Sauti -

Watu 140 000 kupatiwa chanjo dhidi ya Kipindupindu Sudan Kusini

Ukata kusababisha WFP kupunguza wigo wa operesheni zake DRC

Ukata unaoendelea kukabili shirika la mpango wa chakula duniani, WFP unalazimu lipunguze maeneo ambamo linatoa mgao wa chakula cha misaada huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC.

Sauti -

Ukata kusababisha WFP kupunguza wigo wa operesheni zake DRC