Economic development

Michezo; silaha katika kuleta amani na maendeleo:wanamichezo

‘‘Michezo ni silaha katika kuleta amani na maendeleo” Haya ni maneno ya wanamichezo na wanadiplomasia waliokusanyika katika moja ya kumbi za mikutano makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York.

Sauti -

Michezo; silaha katika kuleta amani na maendeleo:wanamichezo

Ugonjwa wa saratani waangaziwa nchini Tanzania

Jumanne ijayo tarehe Nne Februari mwaka 2014, ni siku ya saratani duniani. Maudhui ya mwaka huu ni vunja fikra potofu kuhusu saratani. Maadhimisho haya yanakuja wakati ripoti mpya kuhusu mwelekeo wa saratani duniani ikisema ugonjwa huo unazidi kuenea nchi maskini ambako tiba ni changamoto,.

Sauti -

Ugonjwa wa saratani waangaziwa nchini Tanzania

Ban amteua Bloomberg kuwa mjumbe maalum wa masuala ya miji na mabadiliko ya tabianchi

Meya wa zamani wa jiji laNew York, Michael Bloomberg ameteuliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon kuwa Mjumbe wake maalum wa masuala ya miji na mabadiliko ya tabianchi.

Sauti -

Ban amteua Bloomberg kuwa mjumbe maalum wa masuala ya miji na mabadiliko ya tabianchi

Ladsous kufuatialia utekelezaji wa makubaliano Sudan Kusini

Mkuu wa operesheni za ulinzi wa amani za Umoja wa Mataifa Hervé Ladsous Jumapili hii atakuwa na ziara nchini Sudan Kusini ambapo pamoja an mambo mengine atazungumza na viongozi waandamizi wa serikali na upinzani kuhusu utekelezaji wa makubailano ya kusitisha mapigano yaliyotiwa saini mwezi huu hu

Sauti -

Ladsous kufuatialia utekelezaji wa makubaliano Sudan Kusini

Tiba ya wote dhidi ya TB kufanyika nchini Niger

Shirikisho la kimataifa la Msalaba Mwekundu na Hilali Nyekundu, IFRC, pamoja na Mfuko wa Kimataifa wa kukabiliana na Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria, Global Fund, wametia saini makubaliano ya ufadhili wa matibabu kwa wote nchini Niger dhidi ya ugonjwa wa kifua kikuu, ambayo ni moja ya nchi zenye v

Sauti -