Maafisa wa ngazi za juu kwenye Umoja wa Mataifa wamesisitiza umuhimu wa kufanya mamendelo kuwa kitu cha kuaminika kwa kila mmoja , popote pale ili kuhakikisha kuwa yameleta mabadiliko kwa maisha ya mabilioni kote duniani.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ametoa hotuba yake kwenye mkutano wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu suala la Global Pulse ambao ni ufumbuzi kutoka kwa ofisi ya Katibu Mkuu ulio na lengo la kuvumbua teknolojia mpya kwa maendeleo ya kimataifa.
Teknolojia ya nyuklia ina jukumu muhimu hasa la kukidhi mahitaji ya haraka ya watu nchini Nigeria, amesema naibu mwakilishi wa taifa hilo kwenye Umoja wa Mataifa.
Bei za chakula duniani zimeshuka zaidi mwezi wa Oktoba katika kipindi cha mizezi 11 imesema alhamisi ripoti ya shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa