Economic development

Nchi nyingi zinaongeza mipango ya kuhamia uchumi unaojali mazingira

Wakati dunia ikijiandaa kwa mkutano wa kimataifa wa Rio+20, ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa la mazingira UNEP inaonyesha kwamba serikali nyingi na makampuni

Sauti -

Nchi nyingi zinaongeza mipango ya kuhamia uchumi unaojali mazingira

Kitabu kipya chaangazia umuhimu wa mali asili katika kuleta amani

Umuhimu wa siasa katika ujenzi wa idara za serikali, kuwepo uwajibikaji, juhudi za kupambana na ufisadi , usimamizi wa mali ghafi ili kuzuia mizozo ambayo inaweza kuleta vita ni kati ya masuala yaliyozungumziwa kwenye kitabu kinachozungumzia uwekaji amani baada ya mizozo na usimamizi wa mali asil

Sauti -

Kitabu kipya chaangazia umuhimu wa mali asili katika kuleta amani

Ripoti ya WIPO inaonyesha haja ya mabadiliko katika masuala ya hati miliki

Shirika la kimataifa linalohusika na masuala ya hati miliki WIPO limesema katika ripoti yake ya mwaka 2011 kwamba kuna haja kubwa ya kufanyika mabadiliko ya bunifu katika sekta hiyo.

Sauti -

Ripoti ya WIPO inaonyesha haja ya mabadiliko katika masuala ya hati miliki

Bangladesh imepiga hatua kubwa katika miongo minne:Ban

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon aliyeko ziarani nchini Bangladesh amesema taifa hilo la Asia limepiga hatua kubwa katika kipindi cha miongo mine. Amesema na mabadiliko yanaonekana katika kuelekea utulivu wa kisiasa na ukuaji wa uchumi.

Sauti -

Bangladesh imepiga hatua kubwa katika miongo minne:Ban

UNESCO yazindua atlasi

Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulia masuala ya elimu, sayansi na utamaduni UNESCO limezundua atlasi mpya ambayo imelen

Sauti -

UNESCO yazindua atlasi