Economic development

Rais wa zamani wa Ghana kuongoza ushirikiano na UM kuhusu mazingira na maji

Rais wa zamani wa Ghana John Kufuor ndiye ataongoza ushirikiano wa Umoja wa Mataifa ujulikanao kama Usafi na Maji kwa wote ulio na lengo la kuhakikisha kuwa watu wanaishi kwenye mazingira safi na wanapata maji safi.

Sauti -

Rais wa zamani wa Ghana kuongoza ushirikiano na UM kuhusu mazingira na maji

Kilimo ni muhimu kushughulikia matatizo ya maji na nishati siku za usoni:FAO

Shinikizo la kimataifa kupata rasilimali ya maji limefikia kiwango kikubwa katika maeneo mengi, mtazamo wa kila siku kuhusu maendeleo ya kichumi na udhibiti wa mali asili hautawezekena tena limesema shirika la chakula na kilimo

Sauti -

Kilimo ni muhimu kushughulikia matatizo ya maji na nishati siku za usoni:FAO

Wafanyakazi wahamiaji wachangia dola bilioni 350 katika uchumi wa nchi zao:IFAD

Sekta za umma, binafsi na washirika wa jumuiya za kijamii wanakutana katika mkutano wa kila mwaka wa mfuko wa kimataifa kwa ajili ya maendeleo ya kilimo IFAD ili kutoa changamoto kwa wahamiaji kuwekeza nyumbani walikotoka.

Sauti -

Wafanyakazi wahamiaji wachangia dola bilioni 350 katika uchumi wa nchi zao:IFAD

Uchumi unaposuasua Kaskazini, Kusini yaweza kuleta mabadiliko:UNCTAD

Ripoti ya mwaka 2011 ya nchi zinazoendelea kuhusu jukumu la ushirikiano wa Kusini-Kusini kwa ajili ya maendeleo inasema kwamba mabadiliko ya uchumi katika maeneo ya Kusini yanaweza kuleta fursa nzuri kwa mataifa masikini yanayoendelea, lakini mkakati wa sera unahitajika ili kuimarisha na kuendele

Sauti -

Uchumi unaposuasua Kaskazini, Kusini yaweza kuleta mabadiliko:UNCTAD

Usalama wa chakula umekuwa mateka kwenye mjadala wa biashara:WTO

Dunia iko katika mgogoro wa chakula ambao unahitaji sera za haraka kunusuru hali hiyo, lakini ajenda ya shirika la biashara duniani imeshindwa kufanya hivyo na nchi zinazoendelea zinahofia kwamba zitabanwa na sheria za biashara.

Sauti -

Usalama wa chakula umekuwa mateka kwenye mjadala wa biashara:WTO