Economic development

Uharibifu na upungufu wa ardhi na maji ni tishio kwa usalama wa chakula:FAO

Kuenea kwa mmomonyoko wa ardhi na upungufu wa ardhi na maji umeiweka mifumo mingi muhimu ya uzalishaji wa chakula duniani katika hatari na kutoa changamoto ya kuilisha dunia inayotarajiwa kuwa na watu bilioni 9 ifikapo 2050.

Sauti -

Uharibifu na upungufu wa ardhi na maji ni tishio kwa usalama wa chakula:FAO

UN Women yazindua sera za kukomesha ukatili dhidi ya wanawake

Mkurugenzi mkuu wa UN-women Michelle Bachelet ameainisha sera za ajenda ya kimataifa ya kukomesha ukatili dhidi ya wanawake.

Ajenda hiyo inajikita katika masuala makuu matatu, kuzuia, kulinda na kutoa huduma. Alice Kariuki na taarifa kamili.

(RIPOTI YA ALICE KARIUKI)

Sauti -

UN Women yazindua sera za kukomesha ukatili dhidi ya wanawake

Afrika inaonyesha matumaini katika ukuaji wa uchumi:Migiro

Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bi. Asha Rose Migiro amesema bara la Afrika linatia matumaini katika ukuaji wake wa uchumi.

Sauti -

Afrika inaonyesha matumaini katika ukuaji wa uchumi:Migiro

Zaidi ya nusu ya vijiji nchini Niger vyakabiliwa na uhaba wa chakula

Shirika la kuratibu masuala ya kibinadamu la Umoja wa Mataifa OCHA linasema kuwa taifa la Niger linakabiliwa na wakati mgumu kwenye sekta ya kilimo hali inayohatarisha usalama wa chakula nchini humo.

Sauti -

Zaidi ya nusu ya vijiji nchini Niger vyakabiliwa na uhaba wa chakula

Migiro awataka vijana wakuhimiza viongozi wa dunia kutilia uzito maendeleo endelevu

Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Asha Rose-Migiro amewatolea mwito vijana duniani kote kutumia vyema vipaji na nguvu waliyonayo kuwatia shime viongozi wanaojiandaa kujitokeza kwenye mkutano wa mwaka ujao Umoja wa Mataifa unaotazamiwa kufanyika huko Brazil wenye shabaya kujadilia maendeleo en

Sauti -

Migiro awataka vijana wakuhimiza viongozi wa dunia kutilia uzito maendeleo endelevu