DRC

15 Mei 2018

Jarida leo na Flora Nducha:

1. Burundi- Mauaji ya watu 26, Umoja wa Mataifa wapaza sauti.

2. Gaza- Vituo vya afya vazidiwa uwezo, dawa hakuna wagonjwa taabani.

3. Ebola DRC- Umoja wa Mataifa waendelea kupeleka vifaa kukabiliana na mlipuko.

Sauti -
9'59"

WHO yapeleka wataalamu 50 DRC kukabili Ebola

Shirika la afya ulimwenguni WHO linapeleka timu ya wataalam 50 wa afya ya jamii nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC ili kusaidia serikali kupambana na mlipuko wa Ebola. Patruck Newman na taarifa kamili

Mlipuko wa Ebola;Kufika Bikoro ni saa 15 kwa pikipiki

Kufuatia kuthibitishwa kwa mlipuko wa Ebola huko Equateur nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, Umoja wa Mataifa umetangaza fungu la dola milioni 2 kusaidia harakati za kukabiliana na mlipuko huko. 

Sauti -
1'39"

11 Mei 2018

1. Waliopoteza maisha  kutokana na mafurikio ikenya wafika 132: OCHA 

2. Zaidi ya watoto laki 7 wanakabiliwa na utapiamlo Kasai DRC: UNICEF

3. Mlipuko wa Ebola;Kufika Bikoro ni saa 15 kwa pikipiki

4. Makala ya Midundo ikiangazia ngoma za asali za kabila la wagungu nchini Uganda 

Sauti -
9'56"

Saa 15 kwa pikipiki kufika eneo lenye Ebola DRC- WHO

Kufuatia kuthibitishwa kwa mlipuko wa Ebola huko Equateur nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, Umoja wa Mataifa umetangaza fungu la dola milioni 2 kusaidia harakati za kukabiliana na mlipuko huko. 

Pengo la ufadhili ladidimiza huduma kwa wakimbizi wa DRC: UNHCR

Kufuatia mmiminiko wa wanaokimbia mizozo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC, mashirika ya kibinadamu Uganda yanakumbana na changamoto lukuki kuwahudumai kwani wanaingia ncchini humo kunyume Zaidi na matarajio kinachopanua pengo la ufadhili. 

Sauti -
1'11"

09 Mei 2018

1. Iran inatekeleza ahadi zinazohusiana na nyuklia: IAEA

2. Pengo la ufadhili ladidimiza huduma kwa wakimbizi wa DRC: UNHCR

3. Sijutii kupoteza mali zangu ilimradi familia yangu ipo salama

4. Makala ikiandazia vijana 

Sauti -
9'52"

Pengo la ufadhili ladidimiza huduma kwa wakimbizi wa DRC: UNHCR

Kufuatia mmiminiko wa wanaokimbia mizozo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC, mashirika ya kibinadamu Uganda yanakumbana na changamoto lukuki kuwahudumai kwani wanaingia ncchini humo kunyume Zaidi na matarajio kinachopanua pengo la ufadhili.

Ebola yaibuka tena DRC

Ebola yabisha tena hodi DRC, ikiwa ni takribani mwaka mmoja tangu mlipuko mwingine utokee nchini humo kipindi kama hiki na kudhibitiwa baada ya miezi mitatu.